logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Unataka kujua kwa nini Burna Boy anaitwa 'African Giant'? Hizi hapa baadhi ya sababu

Burna Boy kwa sasa ni msanii mwafrika pendwa zaidi Ulaya.

image
na Radio Jambo

Habari05 June 2023 - 12:28

Muhtasari


• Wikendi iliyopita, msanii huyo aliweka rekodi nyingine ya kuwa msanii mwafrika wa kwanza kujaza uwanja wa watu 80k nchini Uingereza.

• Burna Boy ndiye msanii pekee wa Afrika ambaye amewahi kutumbuiza kwenye tuzo za BET, BRIT, Grammy na  Billboard.

Kwa nini msanii Burna Boy anaitwa African Giant?

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved