NOW ON AIR
Ernest Shonekan alikuwa rais wa Nigeria mwaka 1993, alipinduliwa baada ya Miezi Miwili.
Muhtasari
• Yusuf Lule alitawala Uganda baada ya mapinduzi ya mwezi Aprili, 1979, lakini pia akapinduliwa baada ya siku 68.
• Tito Okello alihudumu kama rais wa Uganda kwa takriban miezi sita kutoka kati ya Julai 1985 – Jan 1986.
• Mohamed Morsi wa Misri alishinikizwa kutoka mamlakani baada ya mwaka mmoja.
Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7