NOW ON AIR
Kwa mara ya kwanza katika historia, bei ya Petroli lita moja imevuka shilingi 200 za Kenya.
Muhtasari
Hii ni mara ya tatu bei ya petroli kupanda kwa shilingi zaidi ya kumi kwa lita katika wakati mmoja.
Mwezi Septemba 2022 bei hiyo ilipanda kwa shilingi 20.18, Julai mwaka huu ikapanda kwa shilingi 13.49 na Septemba 15 imepanda kwa shilingi 16.96.
Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7