logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mzozo wa Israel na Hamas: Idadi ya Waisraeli waliouawa yafikia 1,200

Watu 770 wameuawa katika Ukanda wa Gaza tangu Israel ilipoanzisha mashambulizi yake ya kulipiza kisasi siku ya Jumamosi.

image
na Radio Jambo

Habari11 October 2023 - 04:04

Muhtasari


•Watu 770 wameuawa katika Ukanda wa Gaza tangu Israel ilipoanzisha mashambulizi yake ya kulipiza kisasi siku ya Jumamosi. 

Idadi ya Waisraeli waliouawa yafikia 1,200

Idadi ya vifo nchini Israel imeongezeka hadi 1,200, shirika la utangazaji la umma la Kan limesema. Waathirika walikuwa raia, iliongeza.

Wakati huo huo Wizara ya Afya ya Palestina imesema watu 770 wameuawa katika Ukanda wa Gaza tangu Israel ilipoanzisha mashambulizi yake ya kulipiza kisasi siku ya Jumamosi. Zaidi ya watu 4,100 wamejeruhiwa.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved