NOW ON AIR
Akothee alifichua kuwa alimtema Omosh wakati wa kipindi cha moja kwa moja.
Muhtasari
•Akothee alithibitisha kwamba aligura ndoa yake ya muda mfupi mnamo mwezi Juni wakati yeye na Omosh walipokuwa kwenye fungate.
•Akothee aliweka wazi kuwa kwa sasa yuko single akibainisha kuwa hakuna wakati hata ataruhusu mwanaume kumuathiri kisaikolojia.
Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7