logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Sababu za mahakama kuharamisha ushuru wa nyumba

Mahakama iliamuru wakenya kuendelea kutozwa ushuru wa nyumba hadi januari 10,2024

image
na Davis Ojiambo

Habari30 November 2023 - 04:50

Muhtasari


  • • Jopo la majaji watatu liliafikia uamuzi kuwa sheria iliyotumika kutoza wakenya ushuru wa nyumba haikufuata taratibu za kisheria
  • • Mswada wa Fedha wa 2023 ulipitishwa na bunge mnamo Juni 22, 2023, na baadaye kuidhinishwa na Rais William Ruto mnamo Juni 26.

Jopo la majaji watatu lililojumuisha Majaji David Majanja, Lawrence Mugambi na Christine Meoli pia lilitangaza vifungu vya 84, 72 hadi 78 vya Sheria ya Fedha kuwa batili.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved