logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Ruben Amorim: Mfahamu zaidi kocha atakayechukua mikoba ya Erik ten Hag katika Man United

Klabu ya Sporting Lisbon imethibitisha kwamba Man United tayari wameomba kumchukua kocha wao Ruben Amorim.

image
na Samuel Mainajournalist

Habari30 October 2024 - 14:22

Muhtasari


  • Klabu ya Sporting Lisbon imethibitisha kwamba Man United tayari wameomba kumchukua kocha wao Ruben Amorim.
  • Kocha huyo wa Sporting Lisbon mwenye umri wa miaka 39 amepigiwa upato sana kuridhi nafasi iliyoachwa wazi baada ya Erik ten Hag kutimuliwa siku ya Jumatatu.




RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved