Watoto wa wanasiasa wa Kenya ambao wamefanya harusi mwaka huu 2024. Wanawe Kalonzo, mvulana na msichana kila mmoja alipata mwenza wake na kufanya harusi ya kifahari.
Mwanawe Kalonzo Kevin Muasya alifunga harusi mwezi Mei na mpenziwe Sharoni Nthoki huku bintiye Damarie Saada Kalonzo akifunga harusi mwezi Juni.