Rais wa Marekani Barack Obama, amesema kuwa atafanya juhudi zaidi za kidiplomasia kuangamiza zana za kemikali za Syria , lakini pia ameambia jeshi lake kuwa tayari kuchukua hatua ikiwa juhudi zake hazitafaulu.
Kwa taarifa kamilifu soma: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/08/140813_obama_atetea_mashambulizi_iraq.shtml
