logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Sipeani bure! Nunu yangu ni expensive sana, lipa kama unataka- Bridget Achieng

Sipeani bure! Nunu yangu ni expensive sana, lipa kama unataka- Bridget Achieng

image
na

Habari02 October 2020 - 08:56
36610084_2332151363468470_78573738030792704_n-1068x1068
Bridget Achieng amewataka wanawake kukoma kupeana kisima cha asali bure kwa wanaume na kuwahimiza kuanza kuwalipisha.

Ameyasema haya akirejelea ujumbe wa shabiki wake baada ya mmoja kumshutumu kuendelea kushiriki ngono na watu tajiri nchini.

Amesema kuwa watu wengi hawampendi kwa sababu anapenda kulipuliwa lungula na wanaume waliojaa mihela.
“MANY ARE THE TIMES I HAVE BEEN JUDGED BECAUSE I LIKE MY MEN WITH MONEY. IS IT A MISTAKE? IS IT MY FAULT THAT I GET MEN WHO HAVE MONEY? WE KAMA UNAPENDA KUD*NY* KIARI, MANZE I’M SORRY. “

Achieng ameongezea kuwa japo kisima chake cha asali kinasomwa na watu wa kila aina, anatumia sabuni ya bei ghali mno kukiosha ili kisalia kuwa safi kwa mteja mwengine.

“MY NUNU  IS WASHED WITH VERY EXPENSIVE SOAP. IT’S CLEANED WELL. IT’S A CLEAN NUNU, IT’S AN EXPENSIVE PU*Y. SO WENYE WANATAKA KUPATIANA HIVYO, YOU GO AND GIVE YOURS FOR FREE, MINE HAS A PRICE TAG.”Amesema Achieng.

Amesema hajutii kamwe kuitwa kahaba na analifurahia swala hilo.

“I’M NOT SORRY IF THAT MEANS ME BEING A HOE, IT’S OKAY. IF YOU HAVE TO ENTER HERE. YOU HAVE TO BE MY BLESSER. IT’S NOT BAD TO HAVE A PRICE TAG. AFADHALI UITWE MALAYA.”

Achieng ameongezea kuwa filamu ambayo alishirikishwa kuigiza haingefika mahali ilipo kwa sasa kwani hakuna mtu angeitazama.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved