logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Kumchumbia mwanaume mfupi ni kama 'okoa jahazi',asema Uloma

Kumchumbia mwanaume mfupi ni kama 'okoa jahazi',asema Uloma

image
na

Habari02 October 2020 - 09:46
pjimage (1)
NA NICKSON TOSI

Mwanamke kwa jina Uloma Reen anajutia kuwa katika uhusiano na mwanaume  mfupi ambaye anasema uhusiano huo umemwacha na taabu nyingi katika mwili wake.

Uloma anasema imekuwa nadra kumbusu mumewe  ambaye ni mfupi kimo cha mbilikimo ambapo analazimika kuinama chinin iwapo anataka kumbusu.

Vile dada huyo anasema imemlazimisha  kuvalia vyatu fupi kando na vile alivyokuwa amezoeza kuvalia kutokana na ufupi wa mchumba wake ,swala ambalo amesema limemletea magonjwa kama  kuumwa na mgongo kwa sababu kila mara anapoibnama kumpa busu.

Uloma anasema kuchumbuiana na mwanaume mfupi na ni kama kujichimbia kaburi mapema kwani huwa wanakasirika haraka ikilinganishwa na wanaume wa kimo cha wastani na wengine kuwashauri wapenzi kuvalia vyatu fupi .

“Weledi wangu na kuchumbiana na wanaume wa fupi umekuwa na taabu sana.Kukutana kwenu kwa mara ya kwanza anakuamuru usivalie vyatu mrefu ,wengine watataka mpate watoto ndio wawe na usemi katika maisha yako,wengine nao wana hasira mbaya ambayo huezi kuhimili.kufanya mambo kuwa bora,na si wakosei heshima ,naelezea tu yale ambayo nimepitia kama mwanamke mrefu ambaye nilikuwa katika uhusiano na mwanaume mfupi,mara ya kwanza nilimpiga busu mwanaume huyo mfupi ,ilinibidi niiname ndio kufikia mdomo wake,nilifikiri shingo langu litavunjika,niliamua kupasua kicheko kwa sababu alikuwa mfupi kuliko mimi ambaye nina urefu wa kimo cha 6'0 kumliko.alisema Uloma

Ujumbe huo uliibui hisia mseto miongoni mwa wanawake katika mitandao ya kijamii ambapo wengi wao walisema kuhimili mapenzi ya mwanaume mfupi ni kama Okoa jahazi.

Haya hapa ni baadhi ya maoni yao waliyotuma katika mitandao ya kijamii  kuelezea hisia zao kuhusianan na  maoni ya Uloma.

Je,kuchumbiana na mwanaume mfupi ni balaa ?shiriki katika gumzo hili kwa kutupa maoni yako iwapo umewahi jipata katika hali kama hii.

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved