Umefikia wakati sasa ambapo taifa la Afrika ni shari kuchukua hatua za haraka kutokana na idadi kubwa ya maambukizi yanayoendelea kushuhudiwa katika bara zima hili. Kwa sasa watu 26, 676 kote Afrika wameambukizwa virusi hivyo huku 1, 244 wakiwa wameaga dunia hadi wa leo.
Watu 7, 332 wamepata afueni baada ya kupata matibabu kote katika bara hili.
Kenya yasajili visa 303 vya corona huku mipaka ya kaunti ya Mandera ikifungwa
Kulingana na takwimu za shirika la Afya Duniani, katika ulimwengu mzima watu milioni 2.64 wameambukizwa virusi hivyo huku 18, 4280 wakiwa wamepoteza maisha .
Watu 722, 395 ulimwengunin kote wamepona dhidi ya virusi hivyo.
Matumaini Feki: Tanzania yaonywa dhidi ya kuwapa wananchi matumaini butu kuhusu coronavirus
Kwa mengi zaidi tazama dira ifuatayo ya Afrika.
Kufikia sasa Kenya imeandikisha visa 303 vya maambukizi huku waliopona wakiwa 83, walioaga dunia kutokana na viurusi hivyo ni 14.