logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Video ya Moses Kuria akimuuliza Murkomen kung'atuka kama kiongozi wa wengi yaibuka

Video ya Moses Kuria akimuuliza Murkomen kung'atuka kama kiongozi wa wengi yaibuka

image
na

Habari02 October 2020 - 06:58
Ni rasmi kuwa Seneta wa kaunti ya Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen alitimuliwa kama kiongozi wa wengi wa chama cha Jubilee katika bunge la Seneti na nafasi yake kuchukuliwa na seneta wa Pokot Magharibi Samuel Poghisio, taarifa ambazo zilithibitishwa na kitengo maalum cha mawasiliano cha Rais, 'Presidential Press Service Unit (PSCU]'.

Video ya Mbunge wa Gatundu Moses Kuria imeibuka huku akimshauri seneta wa kaunti ya Elgeyo Marakwet Murkomen kung'atuka  kama kiongozi wa wengi wa chama cha Jubilee.

Kuria akizungumza maneno hayo alikuwa amekasirika na hakujali alichokuwa anasema na kumwambia Murkomen aondoke.

"I am asking Senator Murkomen to step aside from his position as leader of majority in the Senate. Because when he talks about our people he leaves us confused, he is not even a Jubilee leader but a Parliamentary leader." Alizungumza Kuria.

Kupitia mtandao wa kijamii wa facebook, Murkomen alisema kuwa wapelelzi ambao waliteuliwa kufanya uchunguzi wa bwawa la Kimwarer hawakuwa wa kuaminika na walileta ripoti ambazo zilimpotosha rais Uhuru Kenyatta.

"The report of cancellation of Kimwarer Dam and restructuring of Arror dam does come to me as a surprise. As I have always said the plan all along was to kill the projects.The composition of the technical committee does not reflect ethnic and regional balance.

It is a shame that Maringa, Matu, Mwangi and Muiruri who have no knowledge or attachment to the region have misled the President."


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved