logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mama wa kambo anataka nimpige kuni kila mara-Mwanaume Asimulia

Mama wa kambo anataka nimpige kuni kila mara-Mwanaume Asimulia

image
na

Habari02 October 2020 - 07:35
Vijimambo na mambo yanazidi kujitokeza na hata kuonekana kwenye vyombo vya habari; mtoto kafanya ngono na mama yake na hata baba kambaka mwanawe.

Wakati huu nchi inakabiliwa na janga la corona, na wananchi kushawishiwa kufanya kazi kutoka nyumbani wengi wamekabiliwa na hata kuona mengi ambayo hawakutarajia kuyaona wala kuyasikia.

Wengi wamekabiliwa na mambo mengi, hasa wanandoa wengi kwa maaana hawakuwa wamezoea kukaa pamoja kwa muda na vurugu vyatokea.

Mwanaume mmoja aloyefahamika kama Tonny alieleza jinsi mama yake wa kambo anataka wafanye ngono kila mara aendapo kumtembelea.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii, alisimulia hayo huku akisema amekuwa akifanya hayo kwa maana baba yake mzazi amekuwa anafanya kazi mjini Nairobi na kwa muda hajakuwa akienda nyumbani kwa sababu ya amri ya kutotoka nje na kuingia Nairobi.

"Kila mara nikimtembelea mama yangu wa kambo anataka tufanye ngono na nimpige kuni iwezavyo, si mara ya kwanza wala ya pili kufanya kitendo hicho.

Baba yangu huwa anafanya kazi Nairobi, kwa maana huwa wanaishi mbali nasi nikienda kumtembelea lazima tufanye hayo na bibi yangu hajui chochote." Alisimulia Mwanaume huyo.

Si hayo tu yote tisa kumi ni,

"Kuna wakati tulifanya ngono na akabeba mimba yangu aliniarifu na kisha nikampa pesa akaenda kuavya mimba hiyo kwa sababu katika mila yetu kitendo hicho ni tabboo

Nataka ushauri nifanyeje, kwa maana nimefika mwisho."  Tonny Alisema.

Je unaweza kumpa ushauri upi Tonny kwa kitendo hicho? Ni yapi ambayo si ya kawaida umeshuhudia wakati huu wa janga la corona.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved