logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Kuanzia leo tunapandisha bei hii kitu! Makahaba Mombasa waamua kupandisha bei ya kisima cha asali

Kuanzia leo tunapandisha bei hii kitu! Makahaba Mombasa waamua kupandisha bei ya kisima cha asali

image
na

Habari02 October 2020 - 08:17
SEX-WORKERS-730x414
Makahaba katika kaunti ya Mombasa wametishia kuongeza bei ya kisima cha asali kwa wateja wao iwapo serikali haipo tayari kulegeza baadhi ya masharti yaliyowekwa eneo hilo la Pwani ya Kenya.

Millicent Auma, mmoja wa makahaba hao kutoka Bombululu amesema kuwa chini ya miezi mitatu wamekuwa wakipitia changamoto si haba ikiwemo kukosekana kwa wateja tangu aanze biashara hiyo .

“After the shutting of nightclubs and entertainment joints in Mombasa by both the national and county governments, the number of my clients reduced significantly!” .“My colleagues and I have been unable to feed our families,” added Auma.“We are now grateful to the County Government for reopening eateries and tourism sites as that would make it easy for us to meet our clients.”

Auma na wenzake sasa wametoa onyo kwa wateja wao kuwa mambo hayatakuwa namna wanavyotarajia kwani wanapania kuongeza bei ya huduma zao kutokana na hali ya kiuchumi kuwa ngumu.

“They should be ready to pay higher prices than what we used to charge before the outbreak of COVID-19. We’ll now be forced to buy sanitizers and face masks before getting intimate with any customer. Given we are in business, we’ll be forced to transfer that extra cost to the clients,” Auma.

Mary Karen, kahaba mwingine wa Mombasa amesema kuwa muungano wa wafanyakazi hao kaunti hiyo sasa umepitisha mswada huo na hivi karibuni wataanza kutoza pesa tofauti.

“Before coronavirus crisis, the only extra cost we would incur was on condoms. Now, face masks, sanitizers and other hygiene equipment have been added to our expenses list. We’ve agreed that the minimum charge will be Ksh800 and the maximum cost a sex worker — in our association — can charge her client will be Ksh1, 200 per session ,”  Karen.

Mkahaba hao sasa wanasema kafyu ya kuanzia saa 9 usiku hadi saa 4 asubuhi imeathiri pakubwa biashara zao na kuwalazimu kupunguza malipo kutoka kwa 1000 hadi kwa shilingi 200.

“Business has gone down! Nowadays, one can even go home with only Ksh200, and that comes from our regular clients, whom we can only get intimate with in their vehicles, given brothels and lodgings are not operational,”


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved