logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mbegu Safi!Kutana na mwanawe Samidoh aliyemtambulisha kwa mashabiki

Samidoh na mkewe Edday walibarikiwa na mtoto wao wa tatu mapema mwezi huu.

image
na Radio Jambo

Makala25 May 2022 - 09:16

Muhtasari


  • Kutana na mwanawe Samidoh aliyemtambulisha kwa mashabiki

Msanii wa Mugithi Samidoh, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram kwa mara ya kwanza amemtambulisha mwanawe wa 3 kwa mashabiki.

Samidoh na mkewe Edday walibarikiwa na mtoto wao wa tatu mapema mwezi huu.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Samidoh alipakia picha ya mwanawe wa pili akiwa amempakata mwanawe wa 3  na kuandika ujumbe huu;

"Majukumu ya ndugu mkubwa," Aliandika.

Mashabiki walimpongeza msanii huyo, huku wakisifia sifa urembo wa mwanawe, hii hapa baadhi ya jumbe zao;

wanji_mugo2: Haka kamekaa mama yake mashavu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

gracekiiru51: You make beautiful babes ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

gloriah__gich: Eish my ovaries are twerking!๐Ÿ˜samidoh nataka mbegu tu๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚sasa mbegu ni kitu ya kunyima mtu surely?

marymaina02: Mbegú grade 1, mbegú ndímanagwo tuhe ๐Ÿ˜œ

collectionskatrina: Khai...Yaani kumbe unaweza toa kitu Kali hivo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

wanjiku_ngigi: Samindo uhoro waku ?? Si unipee mimba pia au nikulipe as sperm donor nataka kama haka

moses7789: Congrats samidoh, atleast kijana ako na makai si kama wewe unakaa upanga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoยฉ Radio Jambo 2024. All rights reserved