Dirisha la Uhamisho la mwezi Januari lilifungwa rasmi mwendo wa saa nane usiku wa kuamkia Jumatano, Februari 1. (majira ya Afrika Mashariki)
Siku ya mwisho ya uhamisho ilikuwa na shughuli nyingi huku wachezaji kadhaa wakibadilisha vilabu, baadhi kwa uhamisho wa kudumu na wengine kwa mkopo.
Dili ambazo zilikamilishwa kabla ya muda wa makataa zilikubaliwa na wachezaji husika sasa watachezea vilabu vyao vipya.
Chini hapa kuna orodha ya wachezaji waliohamia klabu mpya mnamo siku ya mwisho ya uhamisho:-
1. Jorge Luiz Frello Filho Cavaliere almaarufu Jorginho (Chelsea - Arsenal) £12m
2. Albert Sambi Lokonga (Arsenal - (Crystal Palace) - Mkopo
3. Cedric Soares (Arsenal-Fulham) -Mkopo
4. Marcel Sabitzer [Bayern Munich - Manchester United] Mkopo
5. Pedro Porro [Sporting Lisbon - Tottenham] £40m
6. Enzo Fernandez (Benfica- Chelsea) £106m
7. Keylor Navas (Paris St-Germain - Nottingham Forest) Mkopo
8. Jonjo Shelvey (Newcastle - Nottingham Forest) Ada isiyofichuliwa.
9. Felipe (Atletico Madrid - Nottingham Forest) Ada isiyofichuliwa.
10. Harrison Ashby (West Ham - Newcastle) £3m
11. Kamaldeen Sulemana (Rennes - Southampton) £22m
12. Paul Onuachu (Genk - Southampton) Ada isiyofichuliwa
13. Harry Souttar (Stoke - Leicester) £20m
14. Hamed Traore (Sassuolo - Bournemouth) Mkopo
15. Illia Zabarnyi [Dynamo Kyiv - Bournemouth] Ada isiyofichuliwa
16. Sasa Lukic [Torino - Fulham] Ada isiyofichuliwa.
17. Diogo Monteiro [Servette - Leeds] Ada isiyofichuliwa
18. Axel Tuanzebe [Man Utd - Stoke] Mkopo
19. Marquinhos [Arsenal - Norwich] Mkopo
20. Matt Doherty [Tottenham - Atletico Madrid] Uhamisho Huru
21. Djed Spence [Tottenham - Rennes] Mkopo