Ni nadra sana kumwona gavana Joho amechapisha picha ya watoto ama familia yake kutokana na usiri aliouweka wa familia.
https://www.instagram.com/p/B5-JKnUgyf9/
Mbali na siasa, Joho ni kati ya viongozi ambao wanapenda mitindo inayochipukia ya mavazi.
Gavana wa Mombasa, bwana Hassan Joho na seneta wa Nairobi bwana Johnson Sakaja ni baadhi tu ya wanasiasa ambao mtindo wao wa mavazi unavutia wengi sana.
Mheshimiwa Joho anajulikana pia kwa ndevu zilizonyolewa kwa ustadi mwingi zaidi.
Zaidi ya hayo, Joho huongeza mapambo kama saa na miwani ambayo humfanya ang'are zaidi.