Lakini hili likiwepo si wote ambao wanaonyesha mfano usio mwema kwa mashabiki wao bali mfano mwema.
Kunao wachache ambao wana mfano mwema na miongoni mwao ni DJ Moz, ambaye kwa muda ameishi akiwaonyesha mashabiki na wanachi mfano mwema kila kuchao.
Moses Kimathi Mathenge almaarufu DJ Moz alimuoa mke wake Deborah miaka kadhaa iliyopita na kisha kubarikiwa na watoto watatu, harusi yao ilihudhuriwa na watu wa aina nyingi kwa maana ilikuwa ya kipekee.
DJ Moz amekuwa akiwashauri wengi kupitia neno la Mungu;
“AFTER WE HAVE WALKED AWAY FROM GOD AND FEEL LIKE WE HAVE WASTED OUR LIVES ON WORLDLY LIVING, MANY PEOPLE FEEL UNWORTHY AND UNLOVABLE TO COME BACK TO HIM. BUT HERE’S A GLIMPSE TO WHAT GOD DOES WHEN HE SEES US COMING BACK TO HIM: “SO HE GOT UP AND WENT TO HIS FATHER. “BUT WHILE HE WAS STILL A LONG WAY OFF, HIS FATHER SAW HIM AND WAS FILLED WITH COMPASSION FOR HIM; HE RAN TO HIS SON, THREW HIS ARMS AROUND HIM AND KISSED HIM. LUKE 15:20 NIV.”
Wanawe Moses wamekua kwa haraka na hizi hapa baadhi ya picha zao;