Maureen ameaga dunia asubuhi ya kuamkia jumamosi,11, julai, kwa muda amekuwa mgonjwa huku afya yake ikidorora kila mara.
Katika siku zake humu nchini aliimba nyimbo akiwasifi wanasiasa wengi hasa kinara wa chama cha ODM Raila Odinga, alifahamika sana kwa wimbo wake wa K'ogalo alipkuwa anisifu timu ya mpira ya Gor Mahia FC miongoni mwa nyimbo zingine.
Mwendazake ni miongoni mwa wasanii wa kwanza kuimba wimbo huku wakimsifu Barack Obama, miaka miwili iliyopita kabla ya kuwa mgonjwa maureen alizindua albamu yake ya mwisho inayofahamika kama 'Raila roho'.
Hizi hapa baadhi ya picha zake kabla ya kuwa mgonjwa na kuaga;
