Lakini sio wote ambao wanaweza subiri na kuwa na matumaini ya kwamba wanaweza pata mtoto siku za usoni huku wakwe wa upande wa mwanamume wakinoa visu mfurusha mwanamke huyo.
Hayo basi yakiwa yamesemwa mwanamke mmoja akupitia kwenye mitandao ya kijamii alisimulia jinsi alifukuzwa na wakwe wake kwa mumewe kwa sababu ya kutopata mtoto.
"Nimekuwa kwa ndoa kwa miaka saba sasa, wakwe wangu walinifukuza kwa mume wangu kwa maana sijafanikiwa kuwa na mtoto, baada ya iezi miwili nilienda kupimwa na kupatikana kuwa nina mimbaSasa wanataka nirudi kwa mume wangu nifanyeje?"
Ni ujumbe ambao uliibua hisia mseto na hizi hapa baadhi za hisia za wanamitandao;
Eston snaidah: Many people go though hell so that God can be glorified, madam lea mtoto wako inamaana hawakupendi
Frdah-Ruth: kama your man didn't stop you wakati walikufukuza that means amekuchoka dadangu
Rose234: Hamna haja ya kurudi kaa na mtoto wako, your husband will come to you polepole
