logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Kumbe hii mali inakuanga safi?'Wanamitandao wapendezwa na picha hii ya mcheshi Mammito

Mammito ni mcheshi wa kipindi cha Churchill, ambapo ameweza kukuza talanta yake

image
na Radio Jambo

Burudani10 December 2020 - 08:32

Muhtasari


  • Tazama picha ya mcheshi Mammito iliyowapendeza mashabiki
mammito

Eunice Mammito ni mcheshi ambaye ana bidii ya kipekee licha ya yake kufichua kuwa amelelewa na mama peke yake baada ya baba yao kuwatotorka akiwa na umri wa chini.

Mammito ni mcheshi wa kipindi cha Churchill, ambapo ameweza kukuza talanta yake na hata kujiendeleza kupitia kipindi hicho.

Kupitia kenye ukurasa wake wa instagram aliposti picha akiwa na michoro huku mashabiki wake wakipendezwa na picha hiyo na kumsifia.

 

Wengi wamekiri kwamba Mammito ni mrembo kupindukia.

Hizi hapa baadhi ya sifa na hisia za mashabiki wake;

iamnzivobrian: Kumbe hii mali ni Safi mchezo ndo mingi πŸ˜‚

lugenjuma: Mambo ya pwani kuleee mombasani

wangui____: Utashinda umetesa watu izi streets 😍

middle_simba: Ur so beautiful ukiacha ujinga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

soccerdaaddy: Eiiish mamito ameiva nimserve mudish. Aki wewe!

 

sirallantois: Kumbe unaeza rembeka hivi... Pesa kweli huosha πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

dantezmutula: πŸ™„πŸ™„πŸ™„kumbe unakuaga na kakitambi kadogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoΒ© Radio Jambo 2026. All rights reserved