logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Pilipili Usio Ila Yakuashia Nini? Governor Lusaka Auliza

Pilipili Usio Ila Yakuashia Nini? Governor Lusaka Auliza

image
na

Michezo02 October 2020 - 14:56
Gavana wa kaunti ya Bungoma Kenneth Lusaka amewarahi viongozi kutoka eneo la magharibi kujiunga na chama cha Jubilee ambacho kitazindulia hivi karibuni ili kuwa katika serikali baada ya uchaguzi ujao.

Lusaka ambaye ni kiongozi wa chama cha New Ford Kenya amewasuta viongozi wanaomkashfu kwa kukivunjilia mabli chama cha New ford Kenya na kujiunga na chama cha Jubilee kwa kudai kua pilipili usio ila yakuashia nini kwani kila mwanasiasa ako na haki na huru ya kujiunga na mrengo ambao unampendeza.

Lusaka amedai kuwa baadhi ya wale wanaowakashifu huonekana katika ikulu kuu wakitaka kujiunga na serikali kwa kisisri

Lusaka amesema kwamba heri inzi afe katika maziwa kuliko kufariki chooni na kamwe hata banduka mrengo wa jubilee.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved