logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Grace Msalame atangaza kurudi kwake kwenye televisheni

Grace Msalame atangaza kurudi kwake kwenye televisheni

image
na

Burudani02 October 2020 - 11:50
Mwanahabari anaye enziwa sana Grace Msalame baada ya kufanya kazi kwa miaka saba katika sekta mbalimba alitangaza krasmi katika mtandao wake wa kijamii wa instagram, kuwa kwa siku chache zijazo atakuwa amejiunga na Nation Media Goup (NTV).

Na wengine wengi waliweza pia kumpongeza atakuwa mwenyeji wa kipindi cha 'Uncripted'.

Mkuu wa uzalishaji yaani kimombo (Head of production) Justus Tharao aliweza kusema kuwa Grace anaenda kujiunga na kampuni hiyo ya ntv.

Mashabiki wengi walimpongeza na kusema wanamgonja kwa hamu ilikumuona katika kipindi hicho.

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved