logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Msilete hips na vyeti vya kuzaliwa mezani,' ushauri wa Wakanai kwa wanawake

Msilete hips na vyeti vya kuzaliwa mezani,' ushauri wa Wakanai kwa wanawake

image
na

Yanayojiri02 October 2020 - 07:42
Wakanai-wife88-696x463
Shabiki mmoja wa redio ya Classic 105, Wakanai almaarufu Daddy wa Murio huwaacha wengi na tabasamu endapo atapiga si u na kutoa maoni yake hasa kwa wanawake.

Asante kwa mafikira yake wengi utabasamu na kuachwa  na kicheko vinyani mwao, kwa kweli Wakanai hajawahi hisi haya akizungumza na kutoa maoni yake.

Ushauri wake huwapa wanaume na wanawake lakini anafahamika kwa kuwaunga mkono wanawake na ushauri wake mwingi kuwapa wanawake.

Baadhi ya shauri ake ni kama vile zifuatazo;

1.Wanawake unapoenda kumtembelea mpenzi wako husikae kwenye kiti kama umeenda hospitalini kungoja muuguzi aseme uingie kuenda kumuona daktari

Enda kitandani kando yake fanya ulichokuwa umeenda kufanya.

2.Kama miguu yake haitetemeki unapomaliza kufanya kazi, ndugu yangu haujamaliza kazi rudi tena ukafanye kazi

3. Dadazanguni nenda shuleni ukatie bidii la sivyo fanya kazi kwa bidii ili huwe mtu maishani bali si kutegemea mfuko wa mwanamume.

Ndoa si kazi wala mwanaume si benki, husilete tu hips na vyeti vya kuzaliwa mezani.

4.Wanawake wengine husema kuwa aliyekuwa mpenzi wangu aliacha shimo kubwa katika moyo wangu...wacha kutudanganya tunajua aliacha shimo wapi.

5.Husimpende sana mwenzio kama pia naye hakupendi kwa maana upendo wa upande mmoja unaweza adhiri akili yako au usombwe na mawazo chungu nzima.

6. Mambo matatu ambayo hupaswi kumkejeli mwenzio nayo nikam vile watoto, pesa na ndoa, Mungu hupeana baraka zake kwa wakati wake

7.Hautawahi endelea na maisha ukiendelea kufanya ngono na aliyekuwwa mpenzi wako, kwa maana hisia zako hazitawahi hisha, ni muhimu kumuacha ex wako na ata sex uache.

Je unakubaliana na Wakanai, na ushauri upi ambao unauunga mkono?


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved