logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mbona wanaume hawatosheki na mwanamke mmoja? Wema Sepetu ashangazwa na hatua ya Diamond kuachana na Tanasha

Mbona wanaume hawatosheki na mwanamke mmoja? Wema Sepetu ashangazwa na hatua ya Diamond kuachana na Tanasha

image
na

Habari02 October 2020 - 08:59
Siku moja tu baada ya kuwatakia kila heri Rotimi na mpenziwe Vanessa Mdee, muigizaji kutoka bongo Wema Sepetu sasa anashangazwa na hatua ya Diamond kumlipua lungula Tanasha na kisha kuachana naye baada ya kumpa ujauzito.

Ifahamike kuwa Wema na Diamond walikuwa wamepenzi wa dhati na ikadhaniwa kuwa huenda wawili hao wangeona japo mambo yakaenda shoro boro.

Kupitia ukurasa wake, Wema ameshindwa ni kwa nini wanaume hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja.

ILA WANAUME… WHAT DO MEN REALLY WANT…???

Swali hilo aliliuliza wakati akirejelea picha ambayo Tanasha alikuwa ameiweka mitandaoni.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved