logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Tanzia: Mtangazaji Lorna Irungu aangamizwa na corona

Ripoti za habari ziliarifu kwamba Lorna aliangamizwa na virusi vya corona.

image
na Radio Jambo

Michezo22 March 2021 - 13:01

Muhtasari


  • Mtangazaji Lorna Irungu aangamizwa na corona

Mkurugenzi wa kampuni ya Uhusiano wa Umma Gina Din mkurugenzi Lorna Irungu ameaga dunia.

Ripoti za habari ziliarifu kwamba Lorna aliangamizwa na virusi vya corona.

Bi Irungu pia alikuwa mwenyeji wa kipindi cha club Kiboko kwa miaka mitano kati ya 1994 na 1999, wakati pia alitengeneza kipindi cha majarida Maisha na mazungumzo ya vijana yaliyopewa jina la Niaje.

Amepandikizwa figo tatu na baba yake, kaka na dada kati ya mwaka 1998 na 2008.

Kutoka kwetu wanajambo Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved