Al Ahly Ya Misri Yazungumzia Tetesi Za Kufukuzia Saini Ya Cristiano Ronaldo
Hata hivyo, uwezekano wa Ronaldo kuelekea Misri unabaki na nafasi finyu baada ya ripoti kutoka klabuni kuibuka kwamba Al Ahly hawako na mpango wa kumsajili Ronaldo.
Ripoti hizi zinachipuka wakati ambapo kuna uvumi
kwamba Ronaldo yuko tayari kushiriki katika michuano ya FIFA Club World Cup,
baada ya klabu yake ya Al Nassr kufeli kujishikia nafasi.