logo

NOW ON AIR

Listen in Live

“Ilikuwa ‘Kosa Kubwa’ Kuenda Arsenal” – Ozil Amfichulia Mchezaji Mwenza Wa Zamani

Ozil alifunga mabao 44 na kutoa pasi za mabao 75 katika mechi 254 alizoichezea Arsenal, baada ya kujiunga na klabu hiyo akitokea Madrid kwa pauni milioni 42.5 mwaka 2013.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Michezo11 December 2024 - 14:41

Muhtasari


  • Kwa mujibu wa Khedira, Ozil aliwahi mdokezea kwamba kuondoka kwake Madrid kuelekea Arsenal lilikuwa ni “kosa kubwa”.
  • Ozil alifunga mabao 44 na kutoa pasi za mabao 75 katika mechi 254 alizoichezea Arsenal, baada ya kujiunga na klabu hiyo akitokea Madrid kwa pauni milioni 42.5 mwaka 2013.