logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Fahamu kikosi kilichoitwa kwa Harambee Stars kwa michuano ya kufuzu kombe la dunia 2026

Wachezaji watakaopambana katika michuano hiyo miwili inajumuisha wafuatao.

image
na Japheth Nyongesa

Kandanda11 March 2025 - 18:04

Muhtasari


  • Mkufunzi Mgeni wa timu ya taifa la Kenya Harambee Stars Benni MacCarthy ameteuwa Kikosi cha Muda cha Timu ya Taifa kwa Mechi Muhimu za Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Dhidi ya Gabon na Gambia.
  • Mechi ya Nyumbani itachezwa katika uwanja wa kimataifa wa Nyayo ambao umekarabatiwa kwa Muda.

Mkufunzi mpya wa timu ya taifa la Kenya Harambee Stars Benni MacCarthy ameteuwa Kikosi cha Muda cha Timu ya Taifa kwa Mechi Muhimu za Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Dhidi ya Gabon na Gambia.

Kenya itachuana na Gambia ugenini tarehe 20 mwezi Machi kabla ya kuwaalika Garbon nyumbani Siku tatu baadaye. Mechi hiyo ya Nyumbani itachezwa katika uwanja wa kimataifa wa Nyayo ambao umekuwa ukikarabatiwa kwa muda murefu.

Wachezaji watakaopambana katika michuano hiyo miwili inajumuisha wafuatao.

Makipa

Brian Opondo (Tusker FC) Faruk Shikhalo (Bandari FC) Ian Otieno (Richards Bay ya Afrika kusini) Brian Bwire (Polokwane City ya Afrika kusini]

Mabeki

Sylvester Owino (Gor Mahia) Ronney Onyango (Gor Mahia) Alphonce Omija (Gor Mahia) Siraj Mohamed (Bandari FC) Daniel Sakari (Kenya Police FC) Levis Esambe (AFC Leopards SC) Eric Ouma (Rakow Czestochowa ya Poland) Johnstone Omurwa (Kapaz FC ya Azerbaijan) Joseph Okumu (Stade Reims ya Ufaransa) Collins Sichenje (FK Vojvodina nchini Serbia) Daniel Anyembe (Viborg FF ya Danish) Brian Mandela (Stellenbosch ya Afrika Kusini) Amos Nondi (Ararat ya Armenia)

Viungo wa kati

Musa Katibi (Kenya Police FC) Chris Erambo (Tusker FC) Austine Odhiambo (Gor Mahia) Lawrence Juma (Gor Mahia) Kelly Madada (AFC Leopards SC) Ben Stanley (Gor Mahia) Mathias Isogoli (Mara Sugar FC) Andreas Odhiambo (Kariobangi Sharks) Alpha Onyango (Gor Mahia) Richard Odada (Dundee United ya scotland) Duke Abuya (Yanga ya Tanzania) Timothy Ouma (Slavia Prague ya Czech) Apollo Otieno (Dodoma Jiji ya Tanzania) Amos Nondi (FC Ararat ya Armenia) Eric Johanna (UTA Arad ya Romania) Anthony Akumu (Kheybar Khorramabad nchini Iran) Ismail Gonzalez (Merida AD ya Spain) William Lenkupae (Central Coast Mariners ya Australia)

Washambuliaji

Boniface Muchiri (Ulinzi Stars) James Kinyanjui (KCB FC) Alvin Mang’eni (Kenya Police FC) Mohamed Bajaber (Kenya Police FC) Eric Balecho (Tusker FC) Ryan Ogam (Tusker FC) Moses Shumah (Kakamega Homeboyz) Edward Omondi (Sofapaka FC) Elvis Rupia (Singida Blackstars ya Tanzania) John Avire (Porto Suez ya Misri) Jonah Ayunga (St Mirren ya Scotland) Michael Olunga (Al-Duhail ya Qatar) Mathew Tegisi (Pamba Jiji ya Tanzania) Masud Juma (Esteghlal FC ya Iran).

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved