logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Dalili za kuwa mpenzi wako ni 'fisi' baada ya tendo la ngono

Dalili za kuwa mpenzi wako ni 'fisi' baada ya tendo la ngono

image
na

Habari02 October 2020 - 04:52
images
Kila mwanamke amepatana na aina ya mwanaume ambaye  anataka sana kushiriki ngono kwa madai kuwa anampenda ama  yeye ni mpenzi wake wamaisha.

Lakini baada ya kushiriki ngono anasahau kuw mwanamke huyo ana maisha ya  baadaye hata hukosa kumjulia hali mpenziye huyo wa mud tu.

Zifuatazo ni baadhi ya dalili ambazo unapaswa kuangalia  endapo  mpenzi wako  ana kupenda ama ni wa ngono tu yaani kwa lugha ya mtaa ni'fisi'.

1.Wanakupigia simu tu wanapotaka mshiriki ngono

Wanaume kama hawa kukupigiasimu kufahamu hali yako bali watakutumia ujumbe wa kukusihi uende ushiriki  tendo la ngono  nao.

2.Hawatakuonyesha wanapoishi wala kukukaribisha

Wankasumba ya kukupigia simu tu  na  kukuuliza iwpo wanaeza kukutembelea kwako bali si kwaokwa maana labda wana mke ama wana wapenzi wengine.

3.Hawataki kukugharamia

Mwanaume ambaye anataka tu mshiriki tendo la  ngono  labda kwa nyumba yako ama yake bila ya kutummia senti hat moja .

Hatakupeleka mkale pamoja katika mkahawa mkubwa, kwanza atatumia  mipira ya kondomu ambayo ni za bure zinazopeanwa na serikali.

4.Hawatawahi kukujulisha kwa marafiki au familia zao

Mwanaume aina hii  anataka ngono kutoka kwa mwanamke bali kukujulisha kwa marfiki wake wake ma jamaa ni balaa,utasiki akisema ana mamia ya marfiki lakini kuwaona Ng'oo.

5.Hatafanya bidii kukujua zaidi

Kwa sababu akilini mwake ashasdiki kuwa hamna cha maana kati yake n wewe ,hatatia hmnazo ya  kutaka kukufahamu zaid bali ngono tu.

6.Ameshikana kila wakati

Mwanaume ain hii kila mara atkuwa hana wakati unapohitaji msaada w usaidizi wa dharura kutoka kwake,lakini wakati anahisi mshiriki ngono,mashallaah jama anapata wakati sasa.

7.Hana mipango ya maisha yake

Hana mipango ya ruwaza yoyote anayopania kuafikia katika misha yake na maendeleo anayoafikia akilini ni kushiriki ngono kitandani tu.

Kwa hakika ni wengi wamepitia haya na kujua baadaye muda ukiwa umeshaayoyoma, lakini mwaka huu je uko angee?


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved