Jones alieleza na kusema kuwa alimpa msanii huyo wa Afrika Kusini kibao hicho bure, kibao hicho kilikuwa kimeshirikishwa na msanii wa bongo Mbosso kabla ya kutolewa.
"SHO MADJOZI AND I ARE FRIENDS, WE MET ON INSTAGRAM AND BECAME CLOSE AND WE FINALLY MET. SHE INTRODUCED ME TO HER PRODUCER T-BOY WHO SENT ME A BEAT
AT THE TIME SHE WAS IN TANZANIA AND WE WENT TO STUDIO AND DID THE FIRST VERSE AND CHORUS. I SUGGESTED MBOSSO AND HE CAME AND DID HIS VERSE
AFTER THE SONG WAS COMPLETE, SHE WENT FOR A TOUR IN EUROPE AND MET WITH ‘COLOURS.’ WHEN WORKING WITH COLOURS, YOU NEED TO HAVE A NEW SONG THAT YOU HAVE NEVER RELEASED. AT THE TIME SHE DIDN’T HAVE SONG SO SHE CALLED ME AND ASKED IF SHE CAN USE THE SONG FOR THAT PROJECT." Alizungumza Jones.
Alipoulizwa kwa nini hakupewa sifa au kushirikishwa katika kibao hicho alisema kuwa aliachia Sho wimbo huo na wala hakuitisha pesa zozote.
"I LEFT THE SONG TO HER, I DIDN’T ASK FOR MONEY OR ANYTHING AND THATS HOW THE SONG BECAME BIG. EVERYTHING HAS A REASON."
Tayari Jones wametoa kibao na Sho lakini wakati huu Mbosso hajashirikishwa;
"WE HAVE A SONG ALREADY WITH SHO MADJOZI AND THE VIDEO IS READY."