Michuano na mechi kati ya timu bingwa za kandanda zimekuwa zikishuhudiwa huku wanakandanda wakifunga magoli katika kila mechi.
Lakini wafaha u ni magoli ngapi ambayo wacheaji wako tajika wamefunga tangu waanze kucheza kandanda?
Kati ya mechi hizo kuna wale wachezaji ambao wana magoli mengi huku mchezaji Messi akichukua nafasi ya nne katika orodha ya wachezaji hao.
Hii hapa orodha ya wanakandanda 13 ambao wana magoli mengi katika historia ya kandanda;
1.Pele magoli 767
2.Cristiano Ronaldo magoli 742
3.Romario magoli 734
4.Lionel Messi magoli 721
5.Gerd Muller magoli720
6.Ferenc Puskas magoli 706
7.Josef Bican magoli 636
8.Eusebio magoli 615
9.Ferenc Deak ana magoli 558
10.Arthur Friedenreich naye ana magoli 554
11.Zlatan Ibrahimovic magoli 552
12.Zico magoli 525
13.Akfredo Di Stefano magoli 516