Msanii wa nyimbo za bongo kutoka Tanzania Rayvanny ni mmoja wa wasanii bora barani Afrika, kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram alipakia picha yake na msanii mwenzake Zuchu huku ikiibua mjadala kwenye mitandao hiyo.
Wengi wa mashabiki walisema kuwa ni kibao kipya ambacha wawili hao wanatarajia kuwapa mashabiki wao ilhali wengi waliwalinganisha na msanii Harmonize ambaye alitoa kibao chake akimkashifu Diamond.
Pia baadhi ya mashabiki walimwambia awawachie mrembo huyo.
Hii hapa picha hiyo, je wafikiria nini kuhusu picha hiyo?
Hizi hapa baadhi za hisia za wanamitandao na mashabiki wao;
mouh_atl: @rayvanny Mwenzako katoangoma inaitwa ushamba jitahid tutolee ngoma iitwe chitoholi
officialskyle: Rayvanny si uachie
r.mwaka: Goma la kutikisa jiji linakuja hilo sio bure π₯π₯π₯π₯
wema_sepetu_lover: Chui achia bomu hiloπ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
ophorotube: Kaka tuachie hii
kakitu05We: Chuiii ebu fumua mzee baba..π₯π₯π₯
chombo_lidondoo: Jamanπ€―π€―uyo sizuchu uyooo
mouh_atl: π₯π₯π₯π₯π₯ ngoma au ndiyo unabonyeza
_sta.rk: Wataweza kweli.!?
rc_kweka: Kuna nini tena kaka #em subiri kidogo dogo janja @harmonize_tz ametoa kavidio Leo angalau kaskike skike bna usimfanyie ivyoooπππ plzzzzzz @rayvanny