Ronaldo anaendelea kuongoza orodha ya wanasoka wanaolipwa fedha nyingi kwa mara ya sita katika muongo uliopita huku Lionel Messi akishika nafasi ya pili.
Mo Salah sio tu mchezaji wa nane wa soka anayelipwa zaidi duniani, lakini ndiye mchezaji wa juu zaidi barani Afrika.