Miamba hao wa soka wanaonekana kuwa na hamu ya kutwaa kombe ya UEFA baada ya kulipoteza kwenye fainali kwa Real Madrid katika msimu wa 2021/2022.
Liverpool kufikia sasa imepoteza mechi moja pekee yake, kutoka sare mechi mbili na kushinda mechi kumi na moja kwenye ligi kuu ya Uingereza msimu huu 2024/2025.