logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Manchester United yaipiku Arsenal na Chelsea kusaini Emmanuel Ziro

Ziro amefurahia fursa aliyoipata kuchezea Manchester United, klabu aliyosema kwamba amekuwa akitamani sana kuichezea.

image
na Brandon Asiema

Football11 December 2024 - 10:55

Muhtasari


  • Ziro ameishukuru familia yake kwa mapenzi na sapoti pamoja na motisha waliyompa katika miaka yake kwenye academia ya soka ya cre8tive.football