logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mtoto wa Khadija! Mejja amtambulisha mama mzazi kwa wafuasi wake (PICHA)

Mtoto wa Khadija! Mejja amtambulisha mama mzazi kwa wafuasi wake (PICHA)

image
na

Makala02 October 2020 - 09:33
images (1)
Mara kwa mara msanii wa 'Utawezana' Mejja, al maarufu Okwonkwo, humtaja mamake katika nyimbo zake.

Kama wewe ni shabiki wake sugu utaskia mara nyingi yeye hujitambulisha kama 'Mtoto wa Khadija',jina la mamake mzazi.

Basi msanii huyu ambaye anatambaa zaidi, alichapisha picha yake na mamake bi 'Khadija', na kusema ukweli ni mrembo kweli!

Tazama picha ya mamake Mejja:

https://www.instagram.com/p/B-zWS8BFa78/?igshid=1priqnmk9nx8m

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved