logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wakenya mashuhuri waliochukua talaka ili waokoe maisha yao!

Wakenya mashuhuri waliochukua talaka ili waokoe maisha yao!

image
na

Uchaguzi02 October 2020 - 10:44
Je ni kweli wagombanao ndio wapatanao?

Wahenga walisema, wagombanao ndio wapatanao. Hata hivyo, katika mapenzi kama karaha yazidi raha basi huenda anayekwazwa zaidi akataka talaka ili ayaokoe maisha yake.

Tumewaandalia orodha ya watu mashuhuri nchini kenya walioamua kwamba maji yamezidi unga na kukata kauli kutamatisha ndoa zao ili wasije wakajuta baadae.

  1. Saumu Mbuvi

Saumu Mbuvi, bintiye gavana wa Nairobi, Mike Sonko ni baadhi ya watu walioamua kuchukua talaka na kuyaendeleza maisha yao pekee yao.

Binti Saumu, akizungumza na Radio Jambo, alisema wazi kuwa uhusianio wake wa kimapenzi na babake mtoto wake Ben Gatu, ulikuwa  uhusiano uliojaa machungu sana jamaa huyu alikuwa anamchapa na kumkaripia kila kuchao.

Saumu aliubeba uja uzito wa Ben Gatu akiwa na umri wa miaka ishirini na moja na baada ya miezi tisa, wakakatiza uhusiano huo na kila mmoja kuenda njia yake.

Zaidi ya hayo, Saumu alirudi nyumbani na kumwomba baba yake msamaha na kusamehewa.

2. Idah Alisha.

Mwigizaji bora sana Idah Alisha ambaye alipata umaarufu akiigiza katika kipindi cha 'Mother In Law' alimtaliki mumuwe kutokana na fujo za jamaa huyo.

Alisha alisema kuwa, yote yalianza kwa kuzabwa kofi kisha yakazidi kuwa ya kuchapwa na kugombana

kupitia kwa mitandao a kijamii, Idah aliandika,

''HE WAS GREAT. THE FIRST YEAR WAS FANTASTIC AND HE STARTED BECOMING ABUSIVE.

THE FIRST TIME HE SLAPPED ME I WAS LIKE IT MUST BE THIS MOUTH (SHE SAID WHILE POINTING AT HER MOUTH).

I MUST HAVE SAID SOMETHING RECKLESS THAT MADE HIM ANGRY AND WE MAKE EXCUSES LIKE HE DOESN’T ACT LIKE THAT.

HE SAID SORRY AND WE MOVED ON. I NEVER TOLD ANYONE ESPECIALLY BECAUSE MY LIFE WAS IN THE LIMELIGHT.

THERE WAS A SCENARIO THAT HAPPENED IN MY LIFE.

I REMEMBER THERE WAS A TIME HE WAS STANDING OVER ME IN THE SAME POSITION MY DAD STOOD OVER MY MUM.

THAT’S WHEN I TOLD MYSELF ‘THIS MAN IS GONNA KILL ME ONE DAY AND THAT’S WHEN I  LEFT.''

3. Doreen  Majala

Mtangazaji Doreen Majala mwaoka jana alimshatki mumewe Gideon Mulyungi ambaye pia ni mbunge wa Mwingi Central, alikusanya virago vyake na kubanduka jahazi la majonzi.

4.Lilian Muli.

Mtangazaji wa Citizen TV Bi Lillian Muli naye, alimtaliki aliyekuwa mume wake bwana Moses Njuguna Kanene baada ya kusema kuwa alikuwa mtuwa fujo.

kupitia mitandao ya kijamii,Lillian Muli aliandika,

‘’I’VE TOTALLY STOLEN THIS COZ SO MANY PEOPLE NEED TO READ THIS MANY OF US STAY IN DYSFUNCTIONAL RELATIONSHIPS BECAUSE WE ARE AFRAID OF BEING ALONE WE EVEN GET USED TO THE ABUSE.

DON’T ALLOW YOURSELF TO BECOME A VICTIM YOU HAVE OPTIONS! WALK AWAY.’’

Lillian Muli na Moses Njuguna walifunga pingu za maisha mwaka wa elfu mbili kumi na nne.

5.Malkia Nicah

Mwana mziki wa nyimbo za injili Nicah, alisema kuwa uhusiano wake na aliyekuwa mume wake Dr Ofweneke ulisheheni misukosuko.

Nicah kupitia kwenye mitandao ya kijamii aliandika

“DOMESTIC VIOLENCE IS SUCH A BAD THING…

I HAD TO WALK AWAY…I HAD TO RUN, YES I AM A SINGLE MUM OF TWO AND I KNOW GOD WILL WATCH OVER ME AND MY KIDS.’

“I HAVE NEVER TALKED ABOUT IT. FIRST OF ALL, I MUST SAY THIS ON NATIONAL TV, IF THERE IS A WOMAN I RESPECT SO MUCH AND I TELL HER EVERY DAY BECAUSE WE TALK. ''

Dr Ofweneke kwa upande wake alikanusha madai hayo.

''CONSIDERING IF THERE WAS DOMESTIC VIOLENCE OR NOT, A TIME ITS NEVER WHAT IT LOOKS IT IS, SO MANY THINGS CAN BE LABELED AT SOMEONE, THEY CAN BE TRUE OR NOT TRUE.

LATER ON SHE WROTE ME A VERY LONG TEXT AND SHE APOLOGIZED AND I APOLOGIZED BACK. I WASN’T A VERY PERFECT HUSBAND OR FATHER, I HAD MY FAULTS.”

6.Jane Mukami.

Jane Mukami ambaye ni binti murua zaidi aliyejulikana kama mkufunzi wa fani ya kujenga misuli naye, alikuwa kwenye mapenzi ya karaha. Kupitia mitandao ya kijamii, Mukami alitangaza kuwa tabia ya aliyekuwa mpenzi wake iliomfanya akatize uhusiano wao hatua ambayo baadaye ilimsumbua mawazo.

Jane aliandika,

''I HAD WALKED AWAY FROM MY MARRIAGE AND THE DIVORCE WAS FINALIZED. SOME DAYS, I WONDERED IF MAYBE I SHOULD HAVE FORGIVEN MY EX-HUSBAND AND TRIED TO MAKE THINGS WORK ONE MORE TIME.AND OTHERS I KNEW I DID THE RIGHT THING BY WALKING AWAY FROM DOMESTIC VIOLENCE/DOMESTIC ABUSE.''


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved