Soma hapa:
Kwa mujibu wa habari kutoka kampuni ya Safaricom, Collymore amekuwa akipokea matibabu kwa hospitali kadhaa na hivi majuzi amekuwa akitibiwa katika hospitali ya Aga Khan, Nairobi.
Viongozi nchini wametuma risala za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa kiongozi huyu. Bob Collymore alimuoa mpenzi wake Wambui Kamiru mwaka wa 2016. Mke wake Collymore ni msanii na muasisi wa The Art Space.
Hizi ni baadhi ya Jumbe:
Raila Odinga “My condolences go out to the friends and family of Mr Bob Collymore as well as the entire Safaricom fraternity. Bob served our country with dedication and sustained us as a communication hub in Africa. May his soul rest in eternal peace.”
Uhuru Kenyatta “It is with deep sadness that I have this morning received news of the death of Safaricom CEO Bob Collymore after years of battling cancer. As a country, we’ve lost a distinguished corporate leader whose contribution to our national wellbeing will be missed”
Soma hapa pia:
