logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Kutana na kijana mtanashati, shemeji yake Bob, nduguye Wambui

Kutana na kijana mtanashati, shemeji yake Bob, nduguye Wambui

image
na

Patanisho02 October 2020 - 02:21
Nduguye Wambui Kamiru ni miongoni mwa mamia waliohudhuria ibada ya kuombolezwa kwake Bob Collymore kwenye Kanisa la All Saints Cathedral.

Wambui alipoteza baba yake hapo awali na alikuwa na ndugu mmoja tu.

Pia waliohudhuria ni mama na dadake Bob Collymore pamoja na mamake Wambui Profesa Njeri Wamae.

Kung’u Muigai aliwakilisha familia ya Wambui Kamiru na akazungumzia kuhusu uhusiano wake na familia. Pia alizungumzia kansa, ugonjwa ambao unaua wengi duniani kote.

Bob aliaga dunia akiwa na umri wa miaka 61.

Baadhi ni picha za nduguye Wambui,

Nduguye Wambui

Mamake Bob

Dadake Bob

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved