Wawili hao wamebarikiwa na wana watatu, wavulana wawili na msichana mmoja.
Awali kifungua mimba wa wawili hao alifikisha miaka tisa na walimuonyesha upendo wao kwake;
"Uwepo wako umepea maisha yangu maana na kusudi Happy 9th birthday mwanangu rafiki yangu wa karibu, Jibby wangu mshauri wangu." Ulisoma ujumbe wa Lulu.
Kupitia kwenye mitandao ya kijamii Rashid aliposti picha za wanawe na kuandika ujumbe huu;
#SISEMIKITU JESHI LA MTU MMOJA🙏 the Mwajita's." Aliandika.
Mashabiki wake walipendezwa na pichha hiyo na walikuwa na haya ya kusema.
jeridah.andayi My oh my ❤️❤️❤️
massawejapanni You’re family is beautiful 😘😘😘
mercykandie Ayayayaya… The team …the main crew 😍😍😍😍😍 🙌🙌🙌
beautifulyounglady2020 Lovely family photo ❤️
foziahmustafa Cute family
mercykandie Ayayayaya… The team …the main crew 😍😍😍😍😍 🙌🙌🙌
vickyobware Beautiful family
terrynzau Lovely fam. You are blessed
nakshi_nyner Lovely family…
brenda.nyongesa Beautiful people🔥
