Askofu Kiuna alipakia picha ya mwanawe,20, na muigizaji wa kipindi cha Machachari Joy huku wakiwa na furaha tele.
Baada ya kuposti picha hiyo aliandika ujumbe mfupi ambao uliwaacha wengi wakinung'unika na kutoa hisia tofauti huku wengi wakidhani ni wapenzi au marafiki lakini nani anayejua?
"@JeremyKiuna ni mtoto wa baba, kama wajua, wajua 😜😜😜!! furaha nyingi sana kwa picha tu moja nakupenda Jeremy @RevKathyKiuna." Aliandika Kiuna.
Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao;
maryaprude If you know you know 🤣🤣🤣
jesse_maombi And she is literally called joy😂😂😂I wish them God’s favor👏
i_am_triza I know that I know, what a JOY!❤️
wanjiru4214 😂😂l knooow,😍 Joy be with Jeremy forever smiles all your life bro!!!
essie_sasha Indeed if you know you know😂😂
kabura_waweru JOY unspeakable😍😍
emwan06 In-law ama
ckipsang Prayer partner
deejay_babu_254 What a JOY😍😍😍😍 in one picture😂
