logo

NOW ON AIR

Listen in Live

UEFA Nations League: Ratiba ya mechi za nusu fainali kuelekea fainali

Ujerumani, Uhispania, Ufaransa na Ureno zitashiriki mechi za nusu fainali mnamo Juni 4 na 5 huku mshindi wa nafasi ya tatu akiamuliwa Juni 8 na fainali kuchezwa baadae siku hiyo.

image
na MOSES SAGWE

Grafiki25 March 2025 - 10:22

Muhtasari


  • Mechi hizo zitafanyika mwezi Juni nchini Ujerumani na mataifa 4 yamejikatia tiketi kuingia nusu fainali.
  • Ujerumani, Uhispania, Ufaransa na Ureno zitashiriki mechi za nusu fainali mnamo Juni 4 na 5 huku mshindi wa nafasi ya tatu akiamuliwa Juni 8 na fainali kuchezwa baadae siku hiyo.
  • Mechi zitachezewa katika viwanja vya Munich Football Arena na Stuttgart Arena.


UEFA NATIONS LEAGUE

Makala Zinazohusiana

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved