logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mfahamu Steven Kanumba, tasnia ya Bongo Movie ikiadhimisha miaka 13 ya kifo chake!

Kanumba alifariki Aprili 7, 2012 kutokana na majeraha ya kichwa baada ya kile kilichotajwa kuwa ni kuanguka baada ya kusukumwa na aliyekuwa mpenzi wake.

image
na MOSES SAGWE

Grafiki08 April 2025 - 12:49

Muhtasari


  • Mpaka kifo chake, Kakumba alitajwa kama balozi wa kueneza ligha ya Kiswahili kupitia uigizaji wake kwenye filamu.
  • Umaarufu wake katika uigizaji ulipata msukumo zaidi mwaka 2006 alipotambulishwa kwa tasnia ya uigizaji Nigeria ambapo baadae aliigiza katika filamu pendwa ya Dar-2-Lagos.

Fahamu Steven Kanumba, muigizaji wa filamu za Bongo//WILLIAM WANYOIKE

Kanumba alifariki Aprili 7, 2012 kutokana na majeraha ya kichwa baada ya kile kilichotajwa kuwa ni kuanguka baada ya kusukumwa na aliyekuwa mpenzi wake.

Umaarufu wake katika uigizaji ulipata msukumo zaidi mwaka 2006 alipotambulishwa kwa tasnia ya uigizaji Nigeria ambapo baadae aliigiza katika filamu pendwa ya Dar-2-Lagos.

Mpaka kifo chake, Kakumba alitajwa kama balozi wa kueneza ligha ya Kiswahili kupitia uigizaji wake kwenye filamu.

Makala Zinazohusiana

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved