"Baada ya kufahamu hayo nilienda kwao nikiwa nimebeba bidhaa tofauti na elfu kumi, baba mkwe alichukua bidhaa hizo na kuniregeshea na hata kuwanayang'anya wanangu peremende nilizokuwa nimewanunuliaSijui kama walidharau kazi yangu kwa maana kazi yangu ni ya kunyoa, nilienda huko alipochukua elfu kumi aliniambia kuwa hiyo ni ya kujua nyumbani kisha akaniambia niongeze elfu tano ili hasiweze kupeana mke wangu
Tulikuwa tunaishi vyema kwa miaka saba,nataka nirudishiwe bibi au pesa zangu ama watoto,nimeteseka sana ." Alieleza David.
Mkewe Virginia alipopigiwa simu alikuwa na haya ya kusema,
"Nina lea watoto asiwe na shaka wala shida yeyote,kama anaumia basi atafute mtu mwingine wa kumsaidia, nilimwambia siku yenye atatoka kwa wazazi tutaskizana."
Kwa mengi zaidi tembelea mitandao ya youtube